Ndondo Cup yaanza kurindima viwanja mbalimbali Dar es Salaam
#IeleweMitaa. Ni msimu mwingine wa michuano ya kitaa, Ndondo Cup imefunguliwa rasmi leo tarehe 08/07/2024, katika viwanj vya kinesi, jijini Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa ni mwenyekiti wa Chama cha mpira wa miguu Tanzania (TFF), Bw. Wales Karia.Si ya kukosa. Ijulishe kitaa